Friday 22 July 2011







Hiki ni kinu cha kuzalisha UMEME (moter)ambayo inauwezo wa kuzalisha K.W 75.Moter hii imetengenezwa England na inafanya kazi na ipo ktk hali nzuri.Kinu hiki kitazalisha umeme kwa njia ya upepo yaani kwa kutumia (WIND TURBINE)tangaboi na si mafuta kama inavyo tumika ktk generator ya kawaida.Hiki ni chombo ambacho kinathamani kubwa kutokana na matumizi yake kuwa ni ya rahisi au tuseme ni bure kwakuwa ni kutumia upepo badala ya mafuta ambayo yana gharama kubwa.Kwakuwa K.W.75 ni kubwa sana ktk matumizi ya nyumbani hivyo kinauwezo wa kuendesha hata kiwanda cha wastani.Kwa kukadiria matumizi ya umeme ktk nyumba inaweza kufikia K.W. 6 au 7.Na kama mtu ataamua kuifanya hii projet kwa matumizi ya nyumbani basi anao uwezo wa kuuza umeme kwa majirani.




VIPIMO;




K.W. 75




VOLTS 240




R.P.M. 1700




AMPS 313
Hii ni project nilikuwa nataka kuifanya katika shamba langu lakini kutokana na matatizo ya kipesa inabidi kuiuza kwa shingo upande.Hii moter ukinunua nitaweza kukupatia kitabu ambacho kinamaelezo ya kuhusu matumizi ya umeme wa jua na upepo.Na kitakusaidia kupata ushauri wa project utakayoifanya.Ukinunua kinu hiki utahitajika kutafuta mlingoti mrefu pamoja na tangaboi na pengine ukahitaji betry na inveter kwa ajili ya kuhifadhi umeme wako.Kwa kuwa sina ujuzi mwingi wa kukueleza zaidi ya haya,natumaini maelezo niliyotoa yakasaidia kwa kiwango fulani.Lakini nauhakika kama unaweza kumpata fundi wa umeme mwenye ujuzi mzuri ataweza kukupa ushauri mzuri zaidi na pengine kwa gharama ndogo.Hiki kinu kipo Dar es salaam kwa sasa na mimi nahitaji shs MILIONI SABA NA NUSU.Tafadhali naomba uwasiliane nami ktk mtandao huu au piga simu kwa HABIBU 0717810318





No comments:

Post a Comment